Home »
» KLABU YA LUGALO BINGWA DARTS VILABU VYA MCHEZO HUO DAR
KLABU YA LUGALO BINGWA DARTS VILABU VYA MCHEZO HUO DAR
Written By Bashir Nkoromo on Monday, September 17, 2012 | 9:03 AM
Meneja mauzo wa Kinondoni na Ilala wa Kampuni ya Bia Tanzania, Victor Kavishe (wa pili kushoto) akimkabidhi Kikombe nahodha wa Klabu ya Lugalo, Eliutha Shawa mara baada ya kuibuka mabingwa wakati wa mashindano Safari Darts kwa Vilabu vya Mkoa wa Dar es Salaam.Kushoto ni Mwenyekiti wa Darts Mkoa wa Dar es Salaam.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !