Headlines News :
Home » » REBECCA MALOPE ALITIKISA JIJI LA MWANZA , AFANYA MAMBO MAKUBWA CCM KIRUMBA

REBECCA MALOPE ALITIKISA JIJI LA MWANZA , AFANYA MAMBO MAKUBWA CCM KIRUMBA

Written By Bashir Nkoromo on Tuesday, May 6, 2014 | 12:39 AM

1Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Rebecca Malope akifanya mambo makubwa mbele ya mashabiki waliofurika kwenye uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza jioni hii katika tamasha kubwa la Pasaka linaloandaliwa na kampuni ya Msama Promotion chini ya Mkurugenzi wake Alex Msama, baada ya lile la Shinyanga ambalo lilifanyika  jana  kwenye uwanja wa Kambarage mkoani humo, watu wengi wamefurika katika uwanja wa CCM Kirumba  ambapo pia Mbunge wa jimbo la Sengerema (CCM) Mh.William Ngeleja akiwa mgeni rasmi amezindua albam ya mwimbaji Grace Mwikwabe.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MWANZA)2Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Rebecca Malope akifanya mambo makubwa jukwaani.
3Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Rebecca Malope akifanya mambo makubwa huku akipigwa tafu na waimbaji wake.4Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Rebecca Malope akifanya mambo makubwa 5Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Rebecca Malope akiita mashabiki wasogeee jukwaani6Mh. William Ngeleja akinyanyua juu albam mbili za mwimbaji Grace Mwikwabe wakati akizindua albam hiyo kulia ni Alex Msama Mkurugenzi wa Msama Promotion na kushoto ni mwimbaji Grace Mwikwabe.8Mh. William Ngeleja akizungumza na kutoa ujumbe wake katika tamasha hilo , anayefuata kulia kwake ni Jaquline Liana mkuu wa wilaya ya Magu na viongozi wengine.9Mh. William Ngeleja akiwa ameshika albam ya mwimbanj wa injili Grace Mwikwabe huku Maaskofu wa Mwanza  wakiiombea wakati ilipokuwa ikizinduliwa rasmi13Mkurugenzi wa Msama Promotion Bw. Alex Msama aktoa neno katika tamasha hilo, kushoto ni Mh. William Ngeleja na katikati ni Jaquiline Liana Mkuu wa wilaya ya Magu.14Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Kenya Sara K. akifanya vitu vyake huku mashabiki wakimpongeza.15Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama akicheza  mara baada ya kuguswa na wimbo mmoja wapo Mwimbaji Rebecca Malope akiimba jukwaani.16Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Kenya Sara K. akifanya vitu vyake17Upendo Kilahiro naye akafanya mambo makubwa na kuimbisha mashabiki wake.18Upendo Kilahiro akicheza na MC Mwakipesile na waimbaji wenzake Faraja Ntabona wa Congo DRC na Tumaini Njole.19Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama akimkaribisha mgeni rasmi Mh. William Ngeleja wakati walipowasili kwenye uwanja wa CCM Kirumba katika tamasha la Pasaka wengine ni maaskofu wa mkoa wa Mwanza.20Alex Msama na vijana wake21Upendo Nkone naye ametisha22Baadhi ya mashabiki wakiwa katika uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza kushuhudia tamasha la Pasaka.23Ni Fullnyomi
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo SPORTS - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template